ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 25, 2014

BWAWA LA MAINI WAWEKA SHADA LA MAUA KUAKUMBUKA WALIOKUFA NA BOMU BOSTON MARATHON

Timu ya Liverpool jana alhamisi July 24, 2014 waliweka shada la maua kwa waliokufa kwenye bomu lililolipiliwa kwenye Boston Marathon lwenye mtaa wa Bayton, Boston, Massachusetts.
John W Henry, Linda Pizzuti Henry, Brendan Rodgers, Kenny Dalglish na Ian Rush wakiwa pamoja na  makamu wa Rais wa timu ya  Red Sox ya Boston, Charles Steinberg,na baadae walikutana na walionusulika na mlipuko huo wa Bomu wa Boston Marathon
Timu ya Liverpool ikiwapatia jezi wanusulika wa bomu la Boston, Marathon jana mara tu shughuli ya kuweka shada la maua ilipomalizika. Liverpool wapo nchini Marekani kwa mechi za mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na ligi itakayoaanza mwezi ujao.

No comments: