Wapenzi kwa uwezo wa Mungu mtoto Maryline amepatikana. Aliibwa Changanyikeni kapatikanaTandale. Huyo pembeni mwenye blue ndio mwizi mwenyewe alikuwa houseboy wao zamani. Kwa nini alimuiba? Je yupo salama na afya njema? wazazi hawajapatikana bado kuongea simu zimezima. Habari zaidi zitawaijia tutakapo zipata.
TheChoice


No comments:
Post a Comment