Watanzania wa DMV na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye futari iliyofanyika siku ya Jumapili July 13, 2014 Silver Spring, Maryland na kuhudhuriwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao.

Watanzania wa DMV na marafiki zao wakijumuika pamoja kama ilivyo ada katika mwezi wa Ramadhan wanapokutana na kufuturu pamoja.

Watanzania wa DMV wakipanga mstari kuchukua futari siku ya Jumapili July 13, 2014 Silver spring, Maryland.

Watanzania DMV na marafiki zao wakipata futari ya pamoja siku ya Jumapili July 13, 2014 Silver Spring, Maryland.





No comments:
Post a Comment