Advertisements

Tuesday, July 29, 2014

HABARI NDIYO HII JAMAA AKIWA NA MBOGA SABA

Jamaa anapiga menu ya Eid yani kiroho safi kitu ni oganiki tupu pia kazi na dawa hadi mlima ushuke huu.

3 comments:

Anonymous said...

je hela ya mboga aliacha?

Anonymous said...

maisha ndo haya haya mtu unajikuna unapopaweza/kupafikia huna pesa ya kula mabiriani na mapilau na nyama za mbuzi unakula oranic yako kama jamaa anavyokula hapa.
waafrica hatushindwi na kitu tukiamu tunaweza na tunathubutu.picha hii imenifundisha mengi sana.
dj luke ahsante mkuu kwa picha hii na kwa kutuleta habari za eid,Allah atakulipa amin.

Anonymous said...

Sina uhakika kama kuna matunda au mboga za majani hapo.