ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 29, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA SWALA YA EID EL-FITRI MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM, LEO

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutumia mamia ya waumin wa dini ya Kiislamu waliojumuika kwa pamoja katika swala ya Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo  asubuhi
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa serikali na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Eid El Fitri, iliyoswaliwa kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu, wakati akiondoka kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya kushiriki swala ya sikukuu ya Eid El Fitr, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa serikali na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Eid El Fitri, iliyoswaliwa kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.Picha na OMR

No comments: