Advertisements

Tuesday, July 29, 2014

SHEREHE ZA EID MUBARAK NEW YORK

  Balozi wa kudumu wa Tanzania umoja wa mataifa Mhe, Tuvako Manongi akionge machache ukumbini hapo kama mgeni rasmi wa sherehe hizo za Eid zilizokuwa zimeandaliwa na waislam waishio Brooklyn, NY. Na kuudhuliwa na Watanzania kutoka sehemu mbalimbali jirani na jiji la New York.
 Bwana Isaack Kibodya  kutoka Springfield. MA akimkaribisha Mh. Balozi ukumbini hapo kabla ya sherehe kuanza 
 Mwenyekiti wa New York Tanzania Community Bwana Hajji Hamis akiteta jambo na Mh. Balozi Tuvaki Manongi. Kwa picha zaidi za shere hizo jitiririshe kwa kubofya soma zaidi.

 Vijimambo New York Ebra Akipata ukodak na ustadh Ali M'barak Al Khadhuri.


5 comments:

Anonymous said...

mash alla new york mmefanya shughuli safi sana mungu awazidishie kila la kheri na muyaendelee kuyadumisha mambo kama haya

Anonymous said...

mashallah mashallah mmependeza wote mashallah na ndo inavyotakiwa hivi waislamu na wakiristo wote kujumuika pamoja kuwa kitu kimmoja kwa kiroho safi mashallah

Anonymous said...

mr temba uko ndani katika sherehe za eid,poa sana,jichanganye changanye.

na ibra ny bado unamagongo mkuu,pole sana eid mubarak

Anonymous said...

dj luke na ny ibra na wote vijimambo team ahsanteni sana mungu akubarikini sana kwa kututhamini katika sherehe zetu za eid na kwa kutuwekea picha hizi za eid.
nimefarijika sana kuona waislamu siku hizi tunaimani na kufuata dini yetu na kusherehekea kwa pamoja kwa kiroho safi.
Allah akujazeki kila la kheir na barka tele na muwe na imani hii hii kila siku ya kupendana na kusaidiana na kujumuika pamoja kwa upendo na amani.amen

Anonymous said...

Nimegundua wanawake wa New York hawapaki sana "Mikorogo" kama state za jirani.