
Helena Nyerere mtoto wa mbunge wa viti maalum Mhe. Leticia Nyerere anayeishi Maryland nchini Marekani akiwa katika picha ya pamoja na bibi yake Mama Maria Nyerere walipokutana siku za hivi karibuni wakati Helena Nyerere alipomtembelea nyumbani kwake Tanzania.
4 comments:
Kwani alikuwa hamjuwi? Au hii ndiyo mara ya kwanza wanakutana?
maryland kumbe kuna wajukuu na watoto wa wakubwa wengi ngoja nihamiye huko niwajuwe.nisalimiye bibi helena
Kwahiyo sasa tufanyeje.
kisa ni mjukuu wa nyerere
Embu msilete uswahili wenu hapa.
uswahili ni ustaarabu wa hali ya juu na aliye kila mswahili amebeba ustaarabu huo.asiye mswahili hana ustaarabu hata akiwa msomi
Post a Comment