Wanafunzi wa zamani waliosoma Mwakaleli ambao wapo 36 waliopo katika kundi (Group) katika mtandao wa Whatsapp hivi karibuni waliungana pamoja na kwenda kutoa msaada kwa watoto 94 waishio katika mazingira magumu waishio Mbeni Mpiji.
Katika Ziara hiyo walitoa vitu mbalimbali ambavyo vitaweza kuwasaidia katika mambo mbalimbali.
Wakiongea kwa nyakati tofauti vijana hao wameomba watu kuwa na moyo wa kuwasaidia watu hasa walio katika mazingira magumu.




No comments:
Post a Comment