ANGALIA LIVE NEWS
Friday, July 18, 2014
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AFUNGUA CHANZO CHA MAJI SAFI KATIKA KIJIJI CHA IKUNGU WILAYA YA NACHINGWEA
Kiongozi wa mbio za mwenge Bi Rachel Stephen Kassanda akifungua chanzo za maji safi katika kijiji cha Ikungu wilayani ya Nachingwea.
Wanakijiji wakishuhudia ufunguzi wa maji safi kijijini hapo.
Mwenge ukiwaka na wanakijiji wakicheza kwa furaha ya kupata maji safi.
Picha kwa hisani ya Bakary Salum.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment