kocha mpya wa Manchester United Louis van Gaal tayari aishatua Manchester na ameishaanza kuinoa timu yake mpya na kesho Ijumaa July 18, 2014 Man U itaondoka Uingereza kuelekea Marekani itakaposhiriki mechi za kiangazi za kujiandaa na ligi ya Uingereza. Mechi yao ya kwanza watacheza na LA Galaxy July 23, 2014 na kucheza mechi yao ya pili na Inter Milan July 29, 2014 kwenye uwanja wa Fedex uliopo Landover, Matyland.
Kocha mpya Louis van Gaal akiwa na executive vice-chairman Ed Woodward
No comments:
Post a Comment