ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 14, 2014

LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!

TATIZO LETU KUBWA WANAUME WA MJINI NI KUJIFANYA KUJUA SANA, WENZETU MABEBZ WANA TABIA YA KUKAA CHINI NA KUFUNDISHANA NAMNA YA KU-DEAL NA SISI WANAUME ILA SISI UJUAJI MWINGI WE DO NOT OD THAT MATOKEO YAKE KILA SIKU NI KULIA LIA NA KUTUKANA WANAUME NA WANAWAKE SANA KWENYE MITANDAO KISA UPO FRUSTRATED NA SOCIAL LIFE!!
- WANAUME WENZANGU PLEASE TAKE IT FROM ME, HAPA MJINI BONGO HAMNA MBEBEZ MZURI WA VIWANGO ANAYEWEZA KUKUKUBALI KAMA HUNA PESA AU SIO MAARUFU WA SOMETHING IMPOSSIBLE NA HAIJAWAHI KUTOKEA NEVER EVER!! SASA NAJUA FOR A FACT KWAMBA HAKUNA MWANAUME ASIYEPENDA MABEBZ WA UKWELI PLEASE TAFUTA PESA AU UMAARUFU NDIO WATAKUITA HANDSOME BOY SIO VINGINEVYO, I MEAN MKIENDA OUT WANANG'ANG'ANIA KUNYWA SAVVANNAH AMBAYO PANGA PANGUA BUKU SABA CHINI NA SOME OF THEM UNAOWATAKA WANAKUNYWA KAMA BOMBA VILE SASA UAMUE KUTUMIA PESA AU KUZIHESABU MFUNKONI NA KUWAKOSA AU KUTOKUWA NA PESA KABISA UNAISHIA KUWAANGALIA KWA MBALI HII NI FACT OF LIFE HAPA MJINI LOVE ME OR HATE ME!!, JAMANI JIONI NJEMA SANA!! - LE MUTUZ

7 comments:

Anonymous said...

LeMutuz wape wape. unakuta mtu hana kazi, hana fame, hata hela ya soda hana halafu anajiita yeye ni good catch na kutaka kuwa na mbebz wa ukweli. Mwanaume mwenye pesa ananoga mnoo asikwambie mtu, asiye nazo hata mzuka haukupandi. Jamani mwanaume siyo dushe mwanaume pesa eeeh!

Anonymous said...

hata sijui wasema nini....mjomba wewe kila siku unachemsha hata ueleweki unasema nini...

Anonymous said...

Huyu bwana anamuwakilisha nani?

Anonymous said...

mkuu mbona umebana kutokuweka comment katima uchaguzi wa dmv unatunyima haki zetu za kuchangia mada hoja na watu kuwajua wagombea ni wa aina ghani

Anonymous said...

huyu awaakilisha brururaaazzzz wenzake

Anonymous said...

Waambie dume la maana linamuweka demu ndani na kumtumilia sio unawekwa wewe ndani demu ndio anakulisha na kulipa bills zote

Anonymous said...

Seriously, this man needs some help ASAP. What is he talking about? Who is MBEBZ? This is disrespectful for women. Why is this useful now in Bongo/TZ where we have bombs exploding, peace is so fragile, religious leaders attacked and injured, corruption every office, Children abused to their deaths, suspects burnt by angry mobs really? this is straight talk? So cheap. from a man who was running for East African Parliament? who is allegedly educated, with degrees posted on blogs? This is what people want to hear? now? During Ramadhan? This is sad, very sad indeed.