- PEOPLE KAMA HUNA POSITIVE IDEAS SIO LAZIMA UANDIKE, KAMA UNATAKA KULUMBANA NA MIMI KUHUSU ANYTHING NITAFUTE FB TANURU AU JAMIIFORUMS, LAKINI SIO HAPA PLEASE UNDERSTAND THAT KWA SABABU NITAKU-DELETE VERY FAST I DON'T CARE WHO YOU ARE NITAKU-DELETE!!, JAMANI MCHANA MWEMA SANA!!! - LE MUTUZ
ANGALIA LIVE NEWS
Friday, July 18, 2014
LE MUTUZ LIVE!!
- PEOPLE KAMA HUNA POSITIVE IDEAS SIO LAZIMA UANDIKE, KAMA UNATAKA KULUMBANA NA MIMI KUHUSU ANYTHING NITAFUTE FB TANURU AU JAMIIFORUMS, LAKINI SIO HAPA PLEASE UNDERSTAND THAT KWA SABABU NITAKU-DELETE VERY FAST I DON'T CARE WHO YOU ARE NITAKU-DELETE!!, JAMANI MCHANA MWEMA SANA!!! - LE MUTUZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
sasa unayasema haya ni blog yako hii kwamba utatudelet au ndo mkuu wa blog kakupa fursa ya kutu delete.
mbona umechelewa ulikuwa wapi wakati wa madeal za biashara na kusocialized si unajua kutuka tu wewe sama umestaafu?
Maskini!! Huyu baba anahitaji msaada, sijui anaumwa ugonjwa gani, it's so sad.
watanzania ndo mlivyo hamna huruma na wenzenu tena mkiona wenzenu wanamatatizo ndo hapo mnapapata pa kufungua midomo yenu iliyo na chuki binafsi na kumsema mtu.
muugopeni mungu wenu nobody is perfect na kila mtu anamatatizo hapa duniani hata tajiri anayo.
kama kweli mnataka kumsaidia kwa nini msimsadiye kama mnaona anamatatizo na sikuja hapa kwenye blog nakumsema mwenzenu
i say hi to you william and wishing you all the best nabaraka za mungu zikushukiye zote amen.
NY
Kwanza andika lugha ya wenzako vizuri....
Ufumbuzi: Kaa kimya kwanza, na utulie; halafu fikiria unataka kusema nini. Na uyaseme kwa tafukuri na kuyahariri vizuri.
Pengine, unaweza ku-delete hayo unayotaka yaonekane!
Asante sana!
Post a Comment