

Jamani leo nimealikwa Futari kwa My Super Friend Bilionea Davis Mosha now look this is how Futari of the Super Rich looks like ndio maana napigana na mimi niwe one nimejipangia in the next Two years kama alivyosema 50Cents Get Rich or Die trying we should all fight to get rich tuwachane na majungu majungu people! - Le Mutuz
12 comments:
uroho tu ndo umekuzidi but you cant get rich buddy you have to be rich in you brain.
na uizime hii comment dj luke na team yote ya vijimambo.
mnafagilia huyu mtu kwa nini?
kufunga na uislamu mtamu wewe ona sasa watu wanakuja wenyewe
Cholesterol tupu hiyo, maskini anayekula muhogo, maharage na kisamvu, anakula healthy
Hahahaaaaa!! Omg! The third comment is si hilarious. Mbavu zangu mie.
cholestrol ipo huko kwenye majuu na mavyakula vyenu vya chemical huku hata ukila vya kuangakaanga na kutia nazi shata shata hata mwaka upo poa na fiti kiafya na hakuna cholestrol huku.njoeni mjiliye bila wasi wasi mnaviona anavyo vimega le mutuuz kwa raha zake vinamteleza kooni mpaka tumboni with no stress.
le mutuuz jiliye jiliye kwa raha zako no cholestrol in bongo land
mbona chapati zina sura mbaya,mpishi kachemsha saumu kali nini
Duh, kazi kwelikweli. Huyu mtu mzima hakuwi?
Chapati mbaya, hazina mvoto. Futari iko dry sana. Baada ya kufunga inapendeza kula urojo rojo viazi vitamu viungwe nazi, mihogo, maharagwe na uji mwembambaa wa pili pili manga. Mambo ya Chaps (Chapati) yanapendeza kwa daku zaidi.
Ukila vikavu vikavu sana tumbo linauma digestion inakuwa ngumu.
Enzi ninaanza kufunga wakati wakufungua unaanza na kikombe cha uji (unakimaliza) unapumzika halafu unakula tende. baada ya sala ya maghribi ndio futari sana - we bwana wee .. ukianza na futari full swing tumbo linaumaa hata daku inakushinda.
Le mutuz mtamsikia nae kashikwa na unga,unapenda utajiri bila mipango.tamaa mbaya
le mutuza kisha kuwa muislamu si baba yake alikuwa kwa kipindi kifupi yeye kaamu kuwa full time anafunga funga saumu huko bongo siku hizi.
akifanya biashara ya unga hawezi kukamatwa si watoto wa wakubwa hawakamatwagi wakaishia segerea ila ni watoto wa maskini ndo wanakula kamba na kufaaa kwisha kaziiiiiiiiiiiiiiii
This is why many Tanzanians just drop and die because of the wrong perception they have regarding cholesterol. Lobster has a lot of cholesterol whether you eat in Tanzania or in USA. Another point is very few people get their health checked regularly in Tanzania, so how would you know if you have cholesterol?
Post a Comment