Advertisements

Thursday, July 24, 2014

MAENDELEO YA MSIBA WA MTOTO KERON, MAZISHI YAKE NI SIKU YA IJUMAA

Amon Lukwago Baba ya marehemu Keron akiwa amechanganyikia hajui laa kufanya wakati jeneza lililobeba mwali wa mwanae lilipowasili nyumbani kwake mji wa Kawaku uliopo pendezoni mwa Kampala.
 Jeneza lililobeba mwaili wa mtoto Keron likishushwa nyumbani kwa baba yake Jumatano jioni.
Prince Wassaja na Katikilo C P Mayiga ni moja ya waombolezaji waliokuwepo kwenye msiba wa Keron
 Mwanamuziki Juliana akisindikizwa na rafiki yake baada ya kuwasili nyumbani kwa Amon Lukwago baba mtoto wake ambao kwa sasa hawapo pamoja.
Juliana akisindikizwa na rafiki yake kuelekea kwenye nyumba lilipokuwa jeneza lililobeba mwili wa mtoto wake Keron aliyefariki siku ya Jumapili July 20, 2014 jijini Nairobi katika hospitali ya Agakhan kwa Asthma. Picha kwa hisani ya Red Pepper

No comments: