ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 11, 2014

MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA MWAKA WA TAASISI YA SEGAL FAMILY HUKO NGURDOTO- ARUSHA.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto huko Arusha
Baadhi ya washiriki kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwenye ukumbi wa Ngurdoto 
Baadhi ya washiriki kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwenye ukumbi wa Ngurdoto
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mheshimiwa Mwanaidi Maajar ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Segal ya nchini Marekani. Viongozi hao walikutana huko Arusha katika hoteli ya Ngurdoto unakofanyika mkutano huo ambao Mama Salma alialikwa kuuhutubia 
Mwanzilishi wa Taasisi ya Segal Family Bwana Barry Segal akimpongeza Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kutoa hotuba ya kusisimua kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi hiyo

No comments: