Advertisements

Friday, July 25, 2014

MARIO BALOTELLI AKIPATA UKODAK NDANI YA NEW YORK EMPIRE STATE BUILDING

Mario Balotelli akipata ukodak kama kumbukumba ndani ya jengo maarufu New York Empire State Building jengo hili watu wengi sasa upenda kuingia na kufika juu kwani ni jengo lenye urefu wa FT 1,454 na lina floor 103. Mario Balloteli yupo Marekani na timu yake ya A.C Milan kwa michezo ya kiraki kabla ya msimu wa ligi ya serie A kuanza.
Huyu ni David Beckham nae alishafika juu ya jengo hili linalokuwezesha kuona jiji la wasiolala New York City kwa mapana na marefu jinsi linavyo pendeza. Ukipanda usiku ndiyo unaweza kuona mandhari jiji la NYC vizuri zaidi. 
Unaweza kuliona jengo la Empire State kwa mbali nyakati za usiku huu ndiyo mwonekano wake.

No comments: