
Mkurugenzi wa African Development Center ya Minnesota, Nasibu Sareva (Mtanzania), ameteuliwa na Governor (mkuu wa jimbo) wa Minnesota Mark Dayton kuwa mjumbe wa bodi ya kumshauri katika ‘council on black Minnesotana’ baraza la watu weusi wa Minnesota. Kwenye picha mkurugenzi Nasibu Sareva akiwa ofisini kwake, anatia saini kiapo cha ofisi ili kipelekwe kwa ‘Minnesota Secretary of State’, Katibu mkuu wa jimbo la Minnesota Mark Ritchie’
1 comment:
Hongera sa kaka Nasibu!!Keep it up!Professional and shining!
Post a Comment