ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 18, 2014

MCHONGO WA KAZI DMV, BWI AIRPORT


Dereva wa DSL anatafutwa haraka kwa ajili ya kuendesha mabasi ya uwanja wa ndege wa BWI, kazi ni Jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 1 usiku hadi saa 9 alfajiri (7pm-3am) ukitakakufanya Jumamosi na Jumapili ni nguvu yako tu.

Mshahara ni $20 kwa saa unachukua nyumbani bila kukatwa kodi, maswala ya kodi unashughulikia mwenyewe.

Kwa taarifa zaidi piga simu 240 723 8617 muulizie Kenyatta

No comments: