Bwana Dullah mjasiriamali akiwa shambani kwake Handeni ni utekelezaji wa kilimo kwanza. Hapa akiwa kwenye shamba lake la matunda aina ya machungwa kitu full organic kwa afya yako.
Mjariamali akivuna matunda shambani kwake hii ni ule mpango wa kilimo kwanza siyo wale wanaoishi kijijini tu wanaotakiwa kuitwa wakulima, unaweza kuishi mjini na ukawa na shamba lako kijijini. Hapa ni bwana Abdallah aka Dullah akiwa shambani kwake huko Handeni ingawa mwenyewe shughuri zake uziendeshea jijini Dar-es-Salaama.



No comments:
Post a Comment