ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 14, 2014

Mkasi | SO9E04 with Penny

5 comments:

Anonymous said...

I could watch this for hours!!! She speaks very well and her English is better than anyone leaving in the USA or UK(Fact). English yake Imesimama Wima kinonaaaa! Haina she/he/badala ya he/she!!!!! Wanaume ni kharaha tu Mara nyingiiii, wanawake jifunzeni kusimama na Miguu yenu! Fanyeni yenu msitegemee Wavulana Kila wakatiiii!!! Alhamdulilah!!!

Anonymous said...

mbona hicho kizungu kizuri sijakisikia mbona hamjamuliza kwa hicho kizungu.au ndo ushindani kwa baby wema na nyinyi sasa mnafagilia.
wacha weee salaam zako

Anonymous said...

alhamdulillahi nyingi sana na kufunga juu na kutoa sadaka unafata usia wa baba si bora uingiye na kuwa muislamu kabisa because you sound like one na utapata baraka za baba yako

Anonymous said...

nyumbani umeleewa vizuri na nimependa nidhamu yenu kama kweli kama ndo hivyo ulivyosema penny. nasikitika tu baba yako ameshindwa kukushawishini nyinyi;wewe na mama yako muwe waislamu.
anapikiwa ftari vipi akija likizo because hasihii futari kupikiwa na asiye muuislamu.
baba penny uzungu wacha fuata dini urekebishe familia yako.

Anonymous said...

NI KWELI PENNY WEWE NA DIAMOND MLIKUWA NDUGU UPANDE WA BIBIZENU NDO MAANA MLIYOGUNDUA HIVYO NYINYI DADA NA KAKA UPANDE WA BIBI ZENU MKAACHANA;TUJUZU BIBIYE