Jeshi la polisi limelazimika kumuokoa naibu waziri wa maji Mh Amosi Makala toka katikati mwa mikono ya makada wa Chadema na CCM katika kata ya Goba mara baada ya diwani wa viti maalumu CCM wa kata hiyo, alipokuwa akiwatambulisha makada wenzake wa CCM,kabla ya mkutano huo na wananchi kuvunjika kutokana na vurugu toka kwa makada wa Chadema na wale CCM
No comments:
Post a Comment