Pichani aliyesimama katikati ni mtoto wa msanii wa bongo movie KAJALA MASANJA anajulikana kwa jina la PAULINA na leo anakumbuka siku yake ya kuzaliwa akaona siku hii muhimu aje kusherehekea na wanafunzi wanaosoma Sinza Maalumu watoto ambao wanamatatizo ya akili. Walikuwepo watu mbalimbali wakiwemo wasanii wa bongo movie na wasanii bongo fleva, endelea kutizama picha hizi nilizokuchukulia mdau wangu nikiwa eneo la tukio.
Hii ni ofisi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo
Msanii wa bongo fleva Quick Rocker nae alikuwepo
Pichani ni walimu wanaowafundisha wanafunzi hao.
Rais wa Bongo Movie akizungumza machache kabla ya kuwatambulisha wageni alioongozana nao shuleni hapo
Add caption |
Paulina na mama yake Kajala
CREDIT: @chokadj
5 comments:
Nakupongeza Kajala kwa kutoa mwaliko kwa watoto wasiojiweza kwani mara nyingi jamii huwasahau hasa inapofika wakati wa sherehe.
What an amazing woman! Happy birthday kiddo. May God grant you happiness, love and health
wema hajaalikwa kama asivyokualikwa . usanii tu huu
hongereni sana nao wanahitaji upendo...
good i love it mumngu awabariki kukumbuka wasiojiweza pia
Post a Comment