mimi loveness mamuya
sijamfanyia wala sinto mfanyia mgombea yoyote kampeni .Nieleweke kwa ndugu zangu wana jumuiya
wa DMV.Naomba wana jumuiya wenzangu mjitokeze kwa wingi kujiandikisha na kupiga kura.
tukumbuke kuwa jumuiya yetu itajengwa na wanajumuiya wote na ni jukumu la kila mmoja wetu kutambuwa hilo .Naomba watanzania wa DMV tuweke pembeni vyama vya siasa .dini, na makundi yote
tusimame kwa pamoja na tuwe kitu kimoja kama mtanzania .TANZANIA KWANZA .Jivunie kuwa Mtanzania ,Tuipende Tanzania ,bila kusahau tuintangaze Tanzania .Tanzania oyeee