Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba,ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

1 comment:
NAPE Asante, ila kweli umezidi yaani hujatueleza wana CCM na watanzania nini unachokifanya katika chama chetu zaidi ya kulaani kuwabeza na kuwatukana wanasiasa wengineo kama wewe ulivyo. Eleza nini unachofanya katika Chama chako achana na Chadema TLP, NCCR NAKADHALIKA!!
Post a Comment