.jpg)
Ndege ya shirika la ndege la Algeria imepoteza mawasiliano ilipokua njiani kuelekea Algeria ikitokea Burkina faso ikiwa na abiria 110 na wafanyakazi 6 . Ndege hii iliyokua ni kampuni ya SwiftAir iliyokua inafanya safari zake chini ya shirika la ndege la Algeria inasemekana imeanguka kwenye mpaka wa Mali na Algeria na ikiwa na watu 116 wakiwemo raia wa Ufaransa 50 na wafanyakazi wa ndege hiyo walikua Waspanishi 6 inasemekana ndege hii imeanguka kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya eneo hilo, taarifa zaidi zitafuata
No comments:
Post a Comment