Advertisements

Thursday, July 24, 2014

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AWASILI JIJINI NAIROBI KUMWAKILISHA RAIS KIKWETE KWENYE MKUTANO WA MAZIWA MAKUU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na Seneta wa Kirinyaga, Daniel Dickson Karaba baada ya kuwasili wenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya Julai 23, 2014 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu kuhusu kupambana na tatizo la ajira kwa vijana unaotarajiwa kufanyiaka Julai 24, 2014.Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya,Mh. Batilda - Sarha Burhan
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na baadhi ya watumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya baada ya kuwasili wenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Julai 23, 2014 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu kuhusu kupambana na tatizo la ajira kwa vijana unaotarajiwa kufanyiaka Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

2 comments:

Anonymous said...

WEWE KAKA NILIKUWA SIJUI KAMA UNAWIVU HIVI NDUGU YANGU HATA ENDORSEMENT YAKE HUTOWI AMEKUKOSEA NINI? NI DEMOCRACY TU, NGUGU YANGU NETTY KAAA LUKE WATU TUMEMCHOKA IDD KWA UBAGUZI NA WEWE UNAENDELEA.HASARA.HATA MICHUZI KATOA WEWE TU.UMEKUNYWA DAMU YA IDD

karim said...

Nashangaa Luke umeficha maoni yangu jana huisadii jumuiya yako kwa kuficha ukweli bali kuweka wazi UDINI una waangusha DMV mfano ni endorsement zinazoendelea fuatilia utabaini