ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 15, 2014

PICHA ZINGINE FUTARI YA PAOMJA DMV

Watanzania wakijumuika pamoja kwenye futari ya pamoja iliyofanyika siku ya Jumapili July 13, 2014 Silver Spring, Maryland wakipata maneno mawili matatu wakisubili wakti wa kupiga mkeka na baadae kufuturu pamoja.
(Mohammed Yahaya (Mudy Mabenzi) akiongoza Sala siku ya Jumapili Watanzania DMV na marafiki zao walipokutana pamoja Silver Spring, Maryland kwenye futari ya pamoja ambayo hufanyika kila Jumamosi na Jumapili wakati wa kipindi cha mwezi wa Ramadhan.
Afisa Ubalozi wa Tanzania nchi Marekani Bwn. Suleiman Saleh (wapili toka kulia) wakiwa miongoni mwa Watanzania wa DMV waliojumuika pamoja siku ya Jumapili July 13, 2014 Silver Spring, Maryalnd kwenye futari ya pamoja ambayo hufanyika kila mwezi wa Ramadhan unapowadia.
Mohammed Yahaya  akiongoza sala kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: