Mke wa Rais wa zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akijumuika na wake wa Viongozi mbali mbali akiwemo Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume (wa pili kushoto) katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.ANGALIA LIVE NEWS
Saturday, July 26, 2014
RAIS DK. SHEIN AFUTURISHA WANANCHI, IKULU ZANZIBAR
Mke wa Rais wa zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akijumuika na wake wa Viongozi mbali mbali akiwemo Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume (wa pili kushoto) katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment