ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 10, 2014

Ray C afunguka kuhusu kauli aliyopewa na TID.


Rayc
Siku za karibuni, Nyota wa muziki nchini Tanzania Ray C pamoja na TID waliingia kwenye headlines kutokana na kauli za kupishana katika mtandao wa Instagram.TID alionekana kuja juu kutokana na comment iliyotolewa na Ray C instagram kwenye moja ya post zake.
Baada ya kukaa kimya akimuuguza mama yake hatimaye mwanadada Ray C amejibu kile kilichosemwa na TID.
Hii ndio kauli ya Ray C, Namnukuu “Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema.(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa.

1 comment:

Anonymous said...

ndo inavyotakiwa hivyo kuwa mstaarabu hivi ulivyomjibu huyu mnyama.mungu akubariki sana ray c umetoka mbali na umejifunza mengi achana nao hawa watu kama wanajiona wamefika wachiye tu ndo maana mtu anajiita mnyama,mungu kamuumba binadamu yeye anaita mnyama si balaa hili.


from brazil