Advertisements

Monday, July 28, 2014

SEIF AMEIR NA FAMILIA YAKE YAFANYA KIJIHAFLA CHA GHAFLA CHA SIKUKUU YA EID

Familia ya Ameir imefanya hafla futi leo siku ya Eid Greenbelt Maryland baada ya sala ya Eid na kuaalika ndugu, jamaa na marafiki nyumbani kwao.
Wakina mama wakipata picha za hapa na pale kama kumbukumbu ya sikukuu ya Eid pale familia ya Ameir ilipofanya hafla fupi ya sikukuu hiyo iliyoangukia July 28, 2014.
Wadau wakipata picha ya pamoja.
Baada ya kupata maanjumati wakitafakali nini kinafuata.
Wadau wakiwa nyumbani wa Ameir alipowakaribisha kwenye kihafla cha ghafla cha sikukuu ya Eid nyumbani kwake Greenbelt, Maryland nchini Marekani.

No comments: