Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mh. Grace Mujuma akipatiwa maelezo na mmoja wa wafanyabiashara wajasiliamali kutoka nchini Tanzania ambao wanashiriki kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara na Viwanda yanayofanyika Mjini Ndola,Zambia.
Sehemu ya wafanyabiashara wajasiliamali kutoka nchini Tanzania wakionyesha bidhaa zao kwenye Maonyesho hayo ya Kimataifa.
No comments:
Post a Comment