Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Algeria ilishoshiriki kombe la Dunia wamesama fedha walizopta kwa kuingia kundi la timu 16 kwenye mashindano hayo ya kombe la Dunia ambazo zinakadiriwa kufikia milini 9 dola watazichanga kwa wananchi wa Gaza. Msemaji wa wachezaji hao mshambuliaji Slimani amesema kwa niaba ya wachezaji wenzake kwamba fedha walizozipata watawasaidia wananchi wa Gaza kwani wao wanahitaji hizi pesa kuliko sisi.
1 comment:
Beautiful to hear, nice job na vile vile hongera kuwasaidia waislam wenzetu.
Post a Comment