ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 20, 2014

TIMU YA ARGENTINA YATOA FEDHA ZAO WALIZOPATA KWENYE KOMBE LA DUNIA KWENYE HOSPITALI YA BUENOS AIRES

Admirable! Argentina squad donate World Cup prize money to Buenos Aires hospital
Wachezaji wa timu ya Argentina wametoa msaada wa fedha paundi 80,000 kusaidia Hospitali ya Buenos Aires sehemu ya fedha waliyolipwa kutoka kama zawadi ya wao kuwa washindi wa pili wa kombe la Dunia mashindano yaliyofanyika nchini Brazil. Jumal ya fedha walizolipwa kama washindi wa pili ni paundi milioni 14.6.

Wazo la kusaidia hospitali hiyo lilitolewa na mchezaji kiuongo wa timu hiyo Javier Mascherano na timu kepteni Lionel Messi akaliunga mkono kwa sababu yeye mwenyewe alishafanya hivyo siku za nyumba.

No comments: