Naitwa Adam Tenga namuindozi Iddi Sandaly for DMV President.
Na kwa kawaida ya maisha yangu huwa sijiingizi kabisa kwenye mambo ya siasa na mambo ya Jumuiya. Lakini nimeuamua niwe involve kwenye hili swala la uchaguzi linaondelea hapa DMV kwa sababu sitaki unafki na siku zote kwenye ukweli na maendeleo ya ukweli yenye kuunganisha Watanzania kwa maana ya Utanzania kwanza ndipo nitakapo simamia.
Naomba watu wote ambao wanaishi DMV wajiandikishe ili wapige kura mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 7 mwezi wa nane na kuna fee ya $25.
Napenda kuwajulisha Watanzania wa DMV kwamba watu wote ambao wanamfanyia kampeni Liberatus Mwang'ombe wana personal issues za makusudi na Iddi Sandaly na watafanya Kila hila na kudanganya Watanzania DMV wataendesha Jumuiya isiyokuwa na wanachama kwamba mradi wewe ni Mtanzania bila hata kulipia fee utakuwa mwanachama. Katika maisha yangu au mtu yeyeote anitajie ni Jumuiya gani hapa Duniani iliyo na wanachama wanasiolipia ada zao? Watanzania wenzangu DMV kueni macho na hawa watu si watu wazuri kwenye Jumuiya yetu.
kwahiyo naomba watu wote wengine tujitokeze na kuakikisha tunafanya the right things. I don't like bullies kwahiyo tusikubali hawa watu watu bully around.... vote for Iddi Sandaly
IDDI SANDALY FOR DMV PRESIDENT