Mpaka sasa ni Wapalestina 165 wamekufa na Watu wengine zaidi ya 1,000 wamejeruhiwa kutokana na makombora yaliyorushwa Gaza kutoka Israeli siku sita mfurulizo. Umoja wa Matifa umesema kati ya watu waliouwawa robo tatu ni raia. Israeli wamesema wamerusha makombora 1,160 kuelekea Gaza kujibu mashabulizi ya makombora 680 yaliyorushwa Israel kutoka Gaza na kujeruhi watu 9. Makazi zaidi ya 70 ya Wapalestina yamebomolewa na Makombora hayo. Umoja wa Mataifa umesema asilimia 75 ya wakaazi wa Gaza hawana umeme mpaka sasa. Majeshi ya Israeli yamedai kuwa Hamas wameficha makobora na silaha zingine hospitalini, shuleni, misikitini na hata majumbani.
kwa picha zaidi ya mashabulizi hayo bofya soma zaidi
Picha kwa hisani ya Al Jazeera
2 comments:
SUBHANALLAH MUNGU AWAOKOE WATU WA GAZA
Inshallah Allah atakulipiyeni kwa zuldha hizi mnazofanyiwa inshallah na kila muislamu katika pembe yote ya dunia inshallah.Nyosheni mikono yenu kwa Allah atakulipiyeni dua ya watu wanaozulumiwa haiendi patupu ukimnyoshea Allah mikono yako atakukubalia dua yako.
inna lillah waina illahim rajiun
Post a Comment