ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 18, 2014

UKAWA wasema hawakatai mazungumzo yanayolenga rasimu ya pili ya katiba.


Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo- Mh. Freeman Mbowe amesema Ukawa hauwezi kukataa mazungumzo isipokuwa wanaweza kukataa kushiriki bunge maalum la katiba endapo masharti waliyoyatoa hayatafanyiwa kazi ikiwemo kujadili rasimu ya pili ya katiba na si vinginevyo

No comments: