ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 12, 2014

UNAFIKIRI NI WATU WA MKOA GANI HAWA HAPA NI MWENDO WA MKONO TU MWANZO HADI MWISHO

Habari ndiyo hii huu ni mlo moja wa mchana na usiku kuna mlo mwingine kama huu maisha yanaendelea kiroho safi, Hapa ni kitu organic kwa afya zaidi.

6 comments:

Anonymous said...

MKOA WA MARA

Anonymous said...

Mwanza

Anonymous said...

Nafikiri ni Kigoma au Mwanza maana hawa watu kwa dona na dagaa Tanzania nzima hakuna mfano. Wenyewe wanasema bora ugali ujae sinia/sahani ila mboga si muhimu sana kwani hata maji unaweza kunywa na ugali.

Anonymous said...

Wasukuma hao.

Anonymous said...

wapemba hawa

Anonymous said...

watu wa vijimambo team