Wakala wa utalii nchini wamelaani kitendo cha watendaji wa idara ya wanyamapori nchini cha kuwazuiya watalii kuingia katika hoteli walizofikia kwa siku tatu huku wakiwa na silaha za moto kwa madai ya wakala kutolipa tozo ilioyoongezwa katika mapori tengefu na kusababisha ufumbuzu kwa watalii waoliingizia taifa fedha za kigeni wakati tozo hizo zimeongezwa bila taarifa kwa wakala hao
1 comment:
Ni uzembe tu, kama wahusika walikuwa kuwa wanadaiwa kwa nini hawakulipa kabla watalii hawajafika? Halafu bila soni wanalalamika ati hawakutendewa haki..Mie ningekuwa mtalii ningedemand refund !!!
Post a Comment