Advertisements

Friday, August 29, 2014

Waziri Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda Afungua Mkutano wa mabadiliko ya Tabia Nchi

 Waziri Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda Akifungua Mkutano wa mabadiliko ya Tabia nchi ulio wahusisha baadhi ya Mawaziri wa Mazingira na Mawaziri wa Mambo ya Nchi za Nje kutoka katika baadhi ya Nchi za Afrika leo Jijini Dar Es Salaam.
 Mkurugenzi Msaidizi idara ya mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bwana Richard Muyungi akiongea katika Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mawaziri wa Nchi za Nje uliofanyika jijini Dar es Salaam. 
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh, Mizengo Peter Pinda (kulia) na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mh. Dk. Eng. Binilithi Satano Mahenge (kushoto) wakiteta jambo na naibu katibu mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais mazingira Bi, Angelina Madete (katikati) wakizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano 
 Sehemu ya washiriki wa mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi ulio wahusisha baadhi ya Mawaziri wa Mazingira na Mawaziri wa mambo ya nchi za nje kutoka katika baadhi ya nchi za afrika wakisikiliza hotuba kutoka kwa Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda (hayupo pichani) leo jijini dar es salaam.
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya baadhi ya Mawaziri waliohudhuria  mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi ulio wahusisha mawaziri wa mazingira na mawaziri wa mambo ya nchi za nje kutoka katika baadhi ya nchi za Afrika leo jijini Dar es salaam. Picha na OMR

No comments: