Wee wacha wanaume wakimbiza baskeli zao toka kahama kwenda tinde umbali wa km 130.
hivi ndiyo mbio za baiskeli zilivyo kuwa katika mji wa kahama ambapo wanaume hawa walitumia muda wa masaa 3 kwanda na kurudi jumla ya masaa 6 ambapo mshindi wa kwanza alikuwa akimbia speed 65.
Daktali wa mbio za mashindano ya baiskeli akitoa huduma kwa moja wa waandesha baiskeli baada ya kupata ajali na kupewa huduma ya kwanza .
Kila jambo lina faida zake na hasara ni moja wa kimbiza baiskeli akipatiwa matibabu toka daktali wa huduma hiyo kwenye mashindano hayo baada ya baiskeli yake kupata ajali eneo la kagongwa km 15 baada ya mashindano hayo kuanza mjini kahama .
hizi ndiyo baiskeli za mashindano zikiwa zimepaki baada ya kumaliza mbio hizo za km 130 toka kahama mpaka tinde.
Mshindi namba moja wa mbio Jeradi Konda akiwa amepumzika baada ya kumariza mbio za km 130 toka kahama hadi tinde mashindano haya yamedhaminiwa na ABG Buzwagi kahama .
Baadhi ya washabiki wa michezo wa mbio za baiskeli wakiwasubiri wakimbiaji hao katika uwanja wa taifa kahama .
Mbio hizi za baiskeli pia walishiriki wanawake km 45 toka kahama mpaka isaka ambapo maria mathias toka shinyanga aliibuka mshindi wa kwanza mwenye kitabulisho na wakati wande mabanga toka kahama na watatu ni Geni mabunga toka kahama Picha kwa hisani ya Mohab Matukio Blog
2 comments:
No wonder we never won a medal at the C'th games! Hizo baiskeli.
jamani ni daktari sio daktali
Post a Comment