ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 25, 2014

BBQ NEW JERSEY ILIVYOKUTANISHA WADAU KUTOKA MAJIMBO TOFAUTI

Watanzania na marafiki zao wakiwa kwenye nyama choma iliyoandaliwa na Watanzania New Jersey nchini Marekani siku ya Jumamosi Aug 23, 2014 katika park ya Lincoln iliyopo Jersey City. 
Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye nyama choma iliyoandaliwa na Watanzania New Jersey siku ya Jumamosi Aug 23, 2014 katika park ya Licoln Jersey City/
Watanzania waliotoka kila pembe wakila hepi ya nyama choma siku ya Jumamosi Aug 23, 2014 New Jersey nchini Marekani.
Wadau wakipata picha ya pamoja.
Picha zote na Dr. Temba wa timu ya Vijimambo
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


2 comments:

Anonymous said...

wa-TZ wa New York wako kiistaarabu zaidi kwa mtazamo wangu, now that I have a comparison chart ;-)

Anonymous said...

wako wastaarabu kwa vile wako kidogo na pia maisha magumu NY. But usisikiye wako chini kwa chini moto wa kifuu cha nyazi na makumbi yake,ukitia kidole kitakuunguza vibaya sana kuliko moto wa mkaaa wenyewe.