ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 26, 2014

BongoIce Challenge kuchangisha fedha za matibabu ya Fistula


Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza akishiriki #BongoIce challenge kwa lengo la kuchangisha fedha kugharamia matibabu ya ugonjwa wa Fistula ambao umekuwa tishio kwa kinamama.

No comments: