ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 26, 2014

DIAMOND TENA KATIKA KINYANG'ANYILO CHA IRAWMA HUKO FLORIDA MWEZI WAKUMI TAREHE 4


Diamond kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa katika tuzo za IRAWMA zitakazo fanyika Florida U.S.A tarehe 4 mwezi wa kumi. IRAWMA ni International Reggae and World Music Award. Wimbo ulioingia kwenye kinyang'anyilo hiki ni wimbo wa Mdogo Mdogo ,video ya wimbo huo ina miezi miwili tu hewani. Wana music wengie kutoka Africa alioingia nao kwenye kinyang'anyilo hiki ni Davido(Nigeria) na wimbo wa Aye, kuna Awilo Lungomba wa(Congo) na wimbo wake wa Bundeke, Willy Paul Masafi wa(Kenya) na wimbo wa Tamu Tamu, Eddy Kenzo wa (Uganda) na wimbo Sitya Losse, na Blacket wa(Nigeria) na wimbo wa Mama Africa. Habari ndiyo hiyo Diamond Kimataifa Zaidi.

No comments: