ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 26, 2014

TIMU YA NEW YORK YAJIANDAA KUELEKEA MASSACHUSETTS

 Wachezaji wa timu ya New York wakipata mawaidha mawili matatu kutoka kwa kocha na viongozi wao baada ya kumaliza mazoezi leo siku yaJumapili Aug 24, 2014 mazoezi ya kujiandaa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Massachusetts siku ya Jumapili Aug 31, mjini Boston.
 Wachezaji wakiwa na kocha wao Salim Akida(kulia) wakisikiliza mawili matatu toka kwa viongozi
 Mmoja wa viongozi Seif Akida kulia akiongea jambo na kupanga safari ya kuelekea Boston siku ya Jumapili asubuhi na kusisitiza wachezaji wajitokeze kwa wingi yeye ameahidi kukodi Van kubwa ya abiria 15 tayari kwa safari ya Massachusetts na kwenye huu uwanja waliofanyika mazoezi leo siku ya Jumapili ndio wamepanga kukutania hapo mida ya saa 1 asubuhi 7am na basi litaondoka saa 2 asubuhi 8am kuelekea Bosto na baadhi ya wachezaji wamesema wao watatangulia kwa usafiri wao kuelekea huko.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: