ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 3, 2014

HARUSI YA ALVIN NA SUSAN DALLAS, TEXAS NCHINI MAREKANI


 Alvin akivisha pete Susan kwenye harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 2, 2014 kwenye ukumbi wa Noah's uliopo Fairview ma kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Dunia.
 Susan akimvisha pete Alvin kwenye harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 2, 2014 kwenye ukumbi wa Noah's uliopo Fairview ma kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Dunia.
Maharusi wakichum baada kufunga ndoa yao.
Maharusi wakitoka nje baada ya ndoa yao kumalizika kuelekea kupata ukodak moment kwa ajili ya kumbukumbu yao ya siku hii maalum kwao na katika maisha yao.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 Picha zingine baadae.

7 comments:

Anonymous said...

Hawa wamependeza kuliko hiyo royal wedding! !! Kila la heri ktk ndoa yenu! !!

Vinmmari said...

Congratulation Alvin
Beautiful !!

Anonymous said...

Susan hongera ndoa ni uwanja wa mambo Mengi .focus na what you value most and what your gratitude of .Be calm and enjoy the presence of life.God bless your marriage

Anonymous said...

Hongereni sana maharusi mungu awape amani na furaha katika ndoa yenu. swali la nyongeza hao wanaume hiyo picha ya tatu kutoka chini wapo available? au hao waliomsindikiza bwana harusi tuambizane wachumba wakibongo shida huku kwa Obama hamuonekani kirahisi mpaka iwe hivi kama mpo single tuambizane kaka zangu mimi naishi state za juu huku kwenye mabarafu hakuna wabongo na niko available natafuta mchumba kama ndio vipi niweke contact zangu mie nasubiri majibu

Anonymous said...

Very nice setup, congrats to the newly weds

Anonymous said...

bibi harusi kapendeza sana mkuu umepoa kifaa si mchezo mpe mapenzi yote ya kweli na moto moto

Anonymous said...

Jamani hii harusi imependeza sana, kuanzia mapambo, maharusi na wageni waalikwa, congrats to the newly wedds, mdau hapo juu umeniacha hoi , well am single too na nimeona vijana wazuri sana hapo sasa sijui wako single au, na sijui wanajificha wapi jamani, kaka zetu msijifiche bwana tunawahitaji tujenge taifa letu pamoja, wanugu wasiwazengue sana