ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 4, 2014

Hotuba Ya Mhe Rais Jakaya Kikwete Kwa WaTanzania Washington DC. Aug 2, 2014



Karibu kusikiliza hotuba ya Mhe. Dk Jakaya M Kikwete alipozungumza na waTanzania usiku wa Agosti 2, 2014 kwenye hotel ya Marriot, jijini Washington DC nchini Marekani.

1 comment:

Anonymous said...

Kuhusu mambo ya uraia Pacha, ukisikiliza vizuri hata mara ya mwisho aliongea the same thing, almost word to word, sasa mhemiwa raisi unataka kuniambia toka mara ya mwisho ulivosema SAME thing Hakuna Chochote kilichotendeka?