Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakipaka rangi bweni la kituo cha watoto yatima cha yatima group trust fund kilichopo mbagala chamanzi ambapo waumini hawo walitumia siku hiyo kufanya usafi wa mazingira mbalimbali ikiwemo kukata kuni pamoja na kucheza na watoto wanaoishi katika kituo hicho kama njia moja ya kuwafariji.

Muhumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho Charles Nyamuhanga akikati kuni kwa mashine kwa ajili ya
watoto yatima wa group trust fund kilichopo mbagala chamanzi ambapo waumini hawo walitumia siku hiyo kufanya usafi wa mazingira mbalimbali ikiwemo kukata kuni pamoja na kucheza na watoto wanaoishi katika kituo hicho kama njia moja ya kuwafariji.
kuni zikikatwa.
Baadhi ya waumini wakinamama wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakimenya viazi kwa ajili ya kupika na watoto wa kituo cha Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam.PICHA NA HABARI KWAHISANI ALBERT G SNGO
Waumini wakinamama wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakijadiliana mambo mbalimbali.
Baadhi ya watoto yatima wanaoishi katika kituo hicho wakiimba na kucheza.
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakiwa wamebeba kani kwa ajili ya shughuli za kituo cha watoto yatima cha
Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam.
Watoto wa wahumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakicheza mpira wakati walipotembelea kituo cha watoto

Watoto wakicheza.
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakiwa katika picha ya pamoja walipo tembelea kituo cha
Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam

1 comment:
Ni bora hawa wanafanya hv kuliko huyo GWAJIMAA hela yote inaishia kwenye zinaaa!!! Na starehe za ngono. .
Post a Comment