Jumanne wiki hii afisa mmoja wa polisi alimpiga risasi na kumuua raia wa kiafrika aliyedaiwa kuwatishia kwa kisu polisi.
Mkuu wa polisi wa St Louis Sam Dotson amesema mauaji hayo ya August 9 ya Michael Brown yameongeza hali ya machafuko katika eneo hilo.
Mwanasheria mkuu wa Marekani Eric Holder anatarajiwa kutembelea eneo la Ferguson jumatano wiki hii ili kujadili taaerifa rasmi za uchunguzi wa mauaji hayo.
Mwendesha mashitaka katika kesi ya mauaji ya ya Michael Brown leo amewasilisha ushahidi dhidi ya afisa anayedaiwa kuhusika katika mauaji ya Michael Brown.
Vurugu zimeendelea katika mji huo huku waandamanaji wanaopinga mauaji hayo wakiwa wamepakaa maziwa usoni kujikinga na mabomu ya machozi kufuatia waandamaji wawili kuathirika na mabomu hayo. BBC
1 comment:
jamani muwe mnasema ukweli msiwe mnadanganya ndugu zetu huku Tanzania. Huyo aliyeuliwa ni Mmarekani mweusi na si mwafrika, pia ikumbukwe wamarekani weusi hawapendi kufananishwa na waafrika kwani wanatuona sie ni watu wa shida sana na walalahoi. Yule jamaa aliyeuliwa deserved it, alikuwa kibaka na siku zote fake people huwa hawadumu duninai kwani wanaishi maisha ya maigizo ambayo yana haara zake. Educate people by saying the truth, please.
Post a Comment