
Mchezaji Neymar wa Brazil ameanza mazoezi na timu yake ya Barcelona jana lakini akiwa nafanya peke yake, msemaji wa FC Barcelona amesema kwa sasa Neymar anaendelea vizuri na tutajua hali yake inavyoendelea zaidi mara tu atapojiunga kwa mazoezi ya pamoja na wenzake.
No comments:
Post a Comment