Mimi Ashura (Auntie Shou) Nina Mu- Endorse Iddi Sandaly.
Iddi Sandaly Amerudisha Heshima ya DMV.
Uongozi wake Umeleta mengi, NSSF, NHC, PSPF, etc.
Kwa Kazi Nzuri na Uongozi Bora wake DMV tumeweza kukubaliwa
Na Rais Dr. Jakaya Kikwete
na kuja kuzungumza na Wana DMV.
IDDI NI MPENDA UMOJA
DMV KWANZA
Jiunge Nami Jumamosi Hii Kumchagua Iddi Sandaly
Glenmont Local Park
3201 Randolph Rd
Silver Spring, MD 20906
2:00PM
VOTE FOR IDDI SANDALY
1 comment:
Asante be Ashura. Ni vyema wanaDMV tukatambua haki zetu na kupiga kura ipasavyo. Hizi sera tunazoletewa ambazo kwa ujumla hazitafanya kazi kabisa tusipokuw amakini tutaiua kabisa DMV!! Kama DMV ilikuwepo na ikadidimia moja kwamoja leo hii mgombea anaenda kupata ushauri wa kiongozi wa miaka nenda kama kulikuwa na ubora mbona ilikufa?? Jamani tuweni makini sana kwenye huu uchaguzi ujao. TWENDENI KUPIGA KURA JUMAMOSI..
Post a Comment